Seventh-day Adventist® Church

BOMANI SDA

Menu

MAKUNDI YA KANISA

Kundi La Kanisa

  1. Mkwezi Secondary School

Hii ni shule inayoendeshwa katika misingi ya Kanisa la Wa-Adventista Wasabato, Shule ina kidato cha kwanza hadi cha Nne.

Shule ina rekodi ya kufanya vizuri katika mitihani ya Kitaifa na hata ya ndani (Kimkoa).

Kwa mawasiliano zaidi onana na Uongozi wa Kanisa kwa maelezo na mambo zaidi, ikiwa ni pamoja na Kupata Fomu za Kujiunga.

karibu

Kanisa la Wa Adventista Wasabato - Jimbo la Mara
©2020. Bomani SDA Church